
Wabunge wa upinzani wakiondoka bungeni Dodoma jana usiku baada ya kikao cha Bunge hilo kuvunjika.
Picha na Emmanuel Herman **************Dar/Dodoma. Kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana usiku kilivunjika baada ya vurugu kutawala ukumbini humo. Vurugu
hizo zilianza saa 04:42 usiku hadi saa 04:49 usiku wakati Spika Anne
Makinda alipolazimika kuahirisha Bunge hadi leo saa tatu asubuhi. Chanzo
cha vurugu ni kutokana na ugumu...