Sunday, October 19, 2014

WACHEKI WASANII BORA WALIOFUNIKA FIESTA JIJINI DAR, T.I, DAVIDO, DIAMOND NDANI *PICHAZ*

Shaa akitawala jukwaa.
Msanii kutoka Nchini Marekani T.I akitoa burudani kwa wakazi wa Jiji la Dar Katika Show ya Fiesta iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya Leaders.
Msanii Davido kutoka nchini Nigeria Akiwajibika
Ali Kiba kwa stage ya #SerengetiFiesta #NiSheedah

Diamond Platnumz akitoa burudani
 Vanessa Mdee
 Dimpoz kwa pozi
 Ommy Dimpoz
 Mashabiki
 Banana
 Young Killa
 Waje kutoka NIgeria
 Mashabiki wakishangweka
 Victoria Kimani akiwajibika
 Rachel Kazini
 Rachel na wakata mauno wake.
 Barnaba
 Shaa na steji shoo wake wakiwajibika
Weusi On Stage
Picha na Lukaza Blog

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI