Sunday, October 5, 2014

TANZIA: WAZIRI WA ZAMANI DR WILLIAM SHIJA AFARIKI DUNIA

TANZIA!!!
DR. WILLIAM SHIJA, Waziri wa zamani wa Tanzania na Katibu Mkuu wa Umoja wa Wabunge wa Jumuiya ya Madola amefariki dunia Leo London.
Pia ndiye aliyekuwa mbunge wa sengerema kabla ya William Ngereja. RIP
Chanzo: JMF

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI