Wednesday, October 22, 2014

RUMANDE: MADANSA WA DIAMOND WAKAMATWA

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond' , akitoa burudani katika tamasha la Serengeti Fiesta 2014, Leaders Club jijini Dar.
Na Mussa Mateja
MADANSA wa Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinum wamekamatwa leo wapo kituo cha polisi cha Oyster Bay, Dar kwa kuvaa za JWTZ.
Wakati huohuo polisi wakiendelea kumtafuta bosi wao Nasibu Abudul' Diamond Platinumz kwa maelezo zaidi kutokana na kuvaa sare za Jeshi la Wananchi (JWTZ) katika tamasha la Serengeti Fiesta Leaders Club, Dar usiku wa kuamkia Jumapili iliyopita, hawajampata.
Mwandishi wetu alimtafuta Meneja wa Diamond aitwaye Babu Tale kwenye simu bila mafanikio.
Chanzo: GPL

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI