Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiungana na waumini wa dini ya Kiislamu katika swala ya Sikukuu ya Eid
El- Hajim iliyoswaliwa katika Msikiti wa Istiqaama, jijini Dar es
Salaam, leo. Wa pili (kulia) ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt.
Seif Rashid.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu baada ya kushiriki swala ya
Sikukuu ya Eid El- Hajim iliyoswaliwa katika Msikiti wa Istiqaama,
jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na waumini wa dini ya Kiislamu baada ya kushiriki nao katika
swala ya Sikukuu ya Eid El- Haji iliyoswaliwa katika Msikiti wa
Istiqaama. Picha na OMR
0 comments:
Post a Comment