Saturday, October 25, 2014

"ILE PICHA YA MASINEMA YA MABUSU" SALAMA JABIL AAMUA KUVUNJA UKIMYA BAADA YA KUDAIWA KUTOKA KIMAPENZI NA DIRECTOR WAKE


Salma Jabir

KAMA utakuwa mfuatiliaji mzuri wa mitandao ya kijamii utakuwa uliwahi kukutana na picha ya mtangazaji na pia mwongozaji wa kipindi cha Mkasi Salama Jabir akimpiga busu mmoja kati ya director wa kipindi ca mkasi mwenzie na kupitia page yake ya Instagram alizungumza hya hapa
''Wapendwa naombeni twende sawa hapa kidogo,,,ile picha ya masinema ya mabusu,,nothing is serious ni katika vijimambo tu vya location,,and the lucky guy happened to be a brother Mr Josiah "Josh"Murunga ambaye ni producer na director wa MkasiTv! Who is married! so nothing serious!..its just a brother and sister love(bloodline)..Nafahamu wengi mnahamu ya kumjua Hubby ake,,,basi Inshallah siku ikifika mtamjua!''

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI