MWIMBAJI mkongwe raia wa Haiti, Wyclef Jean ameingia jijini Nairobi, Kenya kwa ajili ya mradi wa Coke Studio.
Kupitia mradi huo, msanii huyo anatarajia kufanya collabo na wasanii wa Africa akiwemo malkia wa Uswazi toka Tanzania, Shaa.
Shaa amepost picha akiwa na Wyclef na kuonesha kuwa ndoto yake imetimia na mzigo utakuja hivi punde.
“Wyclef….Dreams do come true…. #GodisGreat #ComingSoon” Ameandika.
0 comments:
Post a Comment