SALUM MWALIM, JOHN MNYIKA NA DK SLAA Uchaguzi ndani ya chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA umefika tamati kwa kamati kuu ya chama hicho kupata viongozi wake wa mwisho ambao ni KATIBU MKUU, NAIBU KATIBU MKUU BARA pamoja na NAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR.
*MATOKEO*
KATIBU MKUU
DK WILLBROD SLAA
NAIBU KATIBU MKUU BARA
JOHN MNYIKA
NAIBU KATIBU MKUU ZANZIBAR
SALUM MWALIM
viongozi awa waliteuliwa na mwenyekiti wa chama hicho kama katiba inavyosema na hatimaye baraza kuu likawapitisha wote bila kuwapinga
mh JOHN MNYIKA anateuliwa kushika nafasi ambayo ilikuwa inashikiliwa na mbunge wa jimbo la kigoma kaskazini mh ZITTO KABWE ambaye aliondolewa katika nafasi hiyo na kamati kuu ya chama kwa kile ambacho kilisemekana kuvunja katiba ya chama hicho.
0 comments:
Post a Comment