Familia ya mwanamuziki T.I kutoka A.T.L akiwa na mkewe pembeni yake na watoto wake.
Rapper wa Young Money akiwa na mtoto wake wa kiume Dwayne.
Rapper wa Young Money Lil Wayne akiwa na mwanae Regginae pamoja na mwanzilishi wa kundi hilo Brian Adams akiwa na mwanae Bria.
Rapper Fabolous akiwa na mtoto wake wa kiume Johan Jackson pamoja na mkewe Emmily.
Jay Z akiwa na mtoto wake wa kiume
Mtoto wa Jay Z wa pili Blue Ivy ambae amezaa na mkewe Beyonce Knowles.
Producer na Rapper Swizz Beats akiwa na mkewe Alicia keys na mtoto wao Egypt
Mtoto wa Rapper mkongwe Nas Escober akiwa na mama yake ambaye ni mwanamuziki Kellis
Boss wa Bad Boys na ambaye pia ni mwanamuziki P. Diddy akiwa na family yake pamoja na mkewe Kim Foster wakisherekea Hall of Fame aliyopata mwanamuziki huyo.
Mtoto wa Rapper 50 Cent Marquise
Rapper kutoka Miami, Florida Rick Ross 'Rozzay' akiwa na Mwanae.
Familia ya mchekeshaji maarufu na mcheza sinema Eddie Murphy akiwa na watoto wake.
Rapper snoop dogg akiwa na mwanae Corde Calvin Broadus.
Mwanamuziki aliyeruhusiwa kuvuta bangi hadharani Snoop Lion a.k.a Snoop Dizzle akiwa na familia yake katika picha tofauti.
0 comments:
Post a Comment