SHABIKI wa Jay Z na Beyoncé hizi picha kutoka kwenye show yao ya HBO On The Run ambazo hazijawahi kuonekana popote.
Video na picha za toka mwaka 2008 na kwenye harusi yao.
Picha hii inamuonyesha Beyonce alivyokuwa mjamzito wa mtoto wao Blu Ivy.
0 comments:
Post a Comment