RAPPER Iggy Azalea ambaye hivi karibuni amefanya vizuri kwenye chati tofauti na nyimbo zake binafsi kama Black Widow na Fancy na kwenye collabo aliyoshirikishwa na T.I, No Mediocre amekuwa akiongelewa kuwa msanii mwenye umbo zuri na anayejua kulitumia kwenye picha na video zake.
Hizi ni baadhi ya picha zilizozungumziwa zaidi.
0 comments:
Post a Comment