Hizi tattoo nyingine za Drake.
DRAKE anaendelea kuongeza wino kwenye mwili wake, rapper huyu ameongeza tattoo nyingine ya mikono ikiweka ishara ya wakati wa maombi kwenye mkono wake.
Tattoo artist aliyemchora Drake ameweka hii picha kwenye instagram yake.
0 comments:
Post a Comment