Friday, September 26, 2014

IGGY AZALEA AMJIBU RAH DIGGA BAADA KUSEMA YEYE SIO MSANII WA HIPHOP

RAPPER IGGY Azalea ametoa ya moyoni na kusema kuwa watu wasimkasirikie na haja kasirika alivyosemwa na rapper Rah Digga kuwa sio msanii wa hiphop. 
Iggy ambaye amekubalika hivi karibuni kwa style na mdondoko mzuri kwenye rap amemjibu Rah Digga nakusema 
“Sijali kama mtu atasema mimi na rap au nafanya pop, nilichotaka kufanya kwenye maisha yangu ni muziki na kuburudisha watu”
Hizi ndio twit za Iggy Azalea
iggy

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI