Thursday, September 18, 2014

TATIZO NI ANACONDA? MKUU WA SHULE ALIYOSOMA NICKI MINAJ AMKATALIA KUONGEA NA WANAFUNZI WAKE

NICKI Minaj amekutana na kikwazo kikubwa katika mpango wake wa kuzungumza na wanafunzi wa shule aliyosoma. 
Mwimbaji huyo ameeleza jinsi alivyoumia baada ya mkuu wa shule hiyo kulikataa ombi lake la kuongea na wanafunzi hao kwa nia ya kuwa-inspire wafanikiwe kama yeye.
Huenda mkuu huyo wa chuo ameona Nicki Minaj sio mtu sahihi wa kuwa-inspire wanafunzi wake kwa kuzingatia video tata ya ‘Anaconda’ aliyoitoa hivi karibuni.

Hizi ni baadhi ya tweets za Nicki akionesha masikitiko yake baada ya kunyimwa nafasi hiyo. 

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI