Thursday, September 25, 2014

MWISHO MWAMPAMBA NA MKEWE MERYL WABARIKIWA MTOTO WA KIUME

mwisho2
STAA MWISHO mwampamba na mkewe Meryl wamebarikiwa na mtoto wa kiume kwenye familia yao.Huyu ni mtoto wa pili.
Mtoto wao wa pili amepewa jina King David. Sasa wana watoto wanne,wawill wa ndani ya ndoa na wawili nje.
meryl_and_mwishoKama ulipitwa ni kwamba Mwisho na Meryl walikutana kwenye jumba la big brother na kupendana, walifunga ndoa mwaka 2011 na kupata mtoto wa kike wa kwanza mwaka 2012.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI