
TAARIFA kutoka kwa watu wa karibu wa Trey Songz ni kwamba jamaa anamfuatilia kwa karibu sana msanii wa rnb Mila J.Trey Songz na Mila J wameonekana mara kwa mara wakiwa pamoja na hivi karibuni ilikuwa New York kwenye Hafla ya kuchangisha pesa iliyoendeshwa na msanii wa rnb
Ne-Yo.

Utafahamu mkuwa wasanii hawa tayari wana wimbo wamefanya pamoja unaitwa “Disrespectful” kwenye album mpya ya Trey inayoitwa Trigga ambayo ndio wimbo unaokaribia kutoka baada ya kukamilika kwa video.
0 comments:
Post a Comment