BAADA ya Rapper Jay Z ambaye ni mume wa Beyonce kubadilisha mashairi ya wimbo wake na mashabiki kutafsiri kuwa mke wake anategemea mtoto wa pili.
Beyonce aliona aweke wazi kwa picha kuwa hana kitumbo cha ujauzito kwa sasa kwa kutoa picha akiwa na nguo ya kuogelea [Bikini].
0 comments:
Post a Comment