NICK CANNON ametangazwa kuwa manager wa video vixen/model Amber Rose.
Ripoti zinasema kuwa Nick alifurahishwa na uwezo wa kuigiza wa Amber Rose alivyoigiza kwenye filamu yake ya “School Dance,” na sasa ana msimamia kupitia kampuni yake ya NCredible Entertainment.
Amber tayari amepata dili na kipindi cha TV cha ABC pilot “Selfie,” Inasemekana Amber yuko kwenye mikono mizuri sababu Nick anafahamika kuwa manager mzuri wa vipaji.
0 comments:
Post a Comment