Monday, August 18, 2014

FIESTA 2014, KAHAMA WAIFUNIKA BUKOBA, NYOMI LAKE NI SHEEEDDDAAAHHH!!!

 
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Winfrida Josephat 'Rachel' akitoa burudani katika Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo, Kahama.
  
Mashabiki waliojitokeza katika Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo Kahama.…
 
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Winfrida Josephat 'Rachel' akitoa burudani katika Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo, Kahama.
 
Mashabiki waliojitokeza katika Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo Kahama.
 
Staa aliyetambulika zaidi kwa wimbo wake wa Maumivu, Khadija akiangusha shoo yake.
 
Staa wa Bongo Fleva, Jux akiimba wimbo wake mpya wa Nitasubiri.
 129khmfst
 129fst 
Jukwwani ni DJ Fetty
133fst 
B 12 akifanya yake jukwaani
 
Fetty na B Dozen ni shedddahh
 
Rais wa Manzese, Madee akikaporomosha mashairi ya ngoma yake mpya ya Ni Sheeda.
 
Msanii wa Bongo Fleva, Mo Music akiimba wimbo wake.
  
Staa wa Bongo Fleva, Mr. Blue.
 
Staa wa Bongo Fleva, Linna Sanga akishambulia jukwaa.
 
BK Sande akishambulia jukwaa.
 
Mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo akiwa kazini.
 
Msanii wa Super Nyota 2013 akishambulia jukwaa.
 
Watangazaji wa Clouds FM, DJ Fetty akiwa na DJ Muli B.
 142fst
 Umati mkubwa wa wakazi wa kahama wakishangilia usiku wa kuamkia leo

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI