Friday, August 8, 2014

ANGALIA PICHA 10. ZA BINTI MREMBO MTOTO WA RAIS WA RWANDA PAUL KAGAME


 






Angel Kagame binti wa Rais Kagame mwenye miaka 25, katika mkutano wa Rais Barack Obama alikuwa kivutio kwa wengi hasa kwa urefu na uzuri wake, na hii ilisababisha viongozi mbalimbali wa nchi tofauti walioalikwa kwenye white house hiyo ya Marekani kufurahia uwepo wake.



0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI