Tuesday, July 8, 2014

DIAMOND ALIPOMZAWADIA MAMA YAKE MZAZI VEDO MBILI KWA MPIGO

mond2
July 07 ni siku ambayo Mama mzazi wa Diamond Platnumz ameadhimisha siku yake ya kuzaliwa na Diamond Platnumz aliahidi kutoa video zake mbili kama zawadi kwa mama yake ambazo zote kafanyia nje ya nchi.

mondd
Hizi ni video mbili ya kwanza ni Mdogo Mdogo aliyeiongoza God Father na ya pili ni Bum Bum aliyomshirikisha msanii kutoka Nigeria Iyanya.

Hii ni video ya Bum Bum.
Hii ni video ya Mdogo Mdogo.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI