Wednesday, March 26, 2014

MATUKIO YA PICHA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Dkt. Fenella Mukangara (kulia) na Anne Kilango Malechela(kushoto) wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma mara baada ya kuharishwa kwa kikao cha Bunge hilo.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Kajubi Mwakajanga (kushoto) na Yusuph Omar Chunda(kulia) wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma mara baada ya kuharishwa kwa kikao cha Bunge hilo.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Paul Makonda (kulia), Anne Makinda (wa pili kulia), Yusuph Singo (wa pili kushoto) na Kingunge Ngombale Mwiru (kushoto) wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma mara baada ya kuharishwa kwa kikao cha Bunge hilo.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Profesa Ibrahim Haruna Lipumba (kushoto) na Freeman Mbowe (kulia) wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma wakati wakielekea katika kikao cha Bunge hilo.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta akitoka nje ya Ukumbi wa Bunge mara baada ya kuharishwa kwa kikao cha Bunge hilo leo mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai akibadilishana mawazo leo mjini Dodoma na waandishi wa habari kabla ya kikao cha Bunge hilo.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambao pia ni wanachama wa UKAWA wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma wakati wakielekea katika kikao cha Bunge hilo. 
Picha na Tiganya Vincent, Dodoma.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI