MSHINDI wa tuzo za BET "International Act" Africa, Davido na nominee Tiwa Savage leo hii wamehojiwa na kipindi cha TV cha network ya P Diddy "Revolt
Katika interview hiyo, mkali wa hit ya "Aye" ameonekana akiwa katika kofia pamoja na tshirt ya leather, jeans ya denim na cheni kibao za gold wakati Tiwa akiwa ametupia kigauni cha pink na viatu virefu vya neon, Christian Louboutin.
Tiwa Savage
Ice Prince
0 comments:
Post a Comment