
IKIWA ni siku nyingine tena ambapo taifa hili limekuwa likizidi kupoteza wanamuziki na wasanii wengine wa sanaa mbalimbali, lakini leo majonzi yamewakuta wapenzi wa muziki wa kizazi kipya Almaarufu BONGO FLEVA kwani rapper maarufu ALBERT KENETH MANGWEHA alilipotiwa kufariki dunia huko Afrika Kusini, katika hospital ya St. Hellen huku chanzo cha kifo chake bado hakijafahamika vizuri.
kijana huyu mwenye asili ya mkoa wa ruvuma,...