Ni siku kadhaa baada ya Rapper Wiz Khalifa kupata mtoto na mpenzi wake ambae ni Amber Rose, mtoto anaitwa Sebastian. Picha tatu zilizokatwa na mtandao huu zimemuonesha msanii huyo mahili akiwa na mwanae... Hongera Wiz!!!
Fahamu yanayojili ulimwenguni!
0 comments:
Post a Comment