Saturday, December 1, 2012

DIAMOND BWANA...!

HII NAYO IMEKAA VIZURI. Sijui kwa ipande wako! Katika hekaheka zangu nikabahatika kuonana na Diamond mtandaoni na simulizi kuu ilikuwa hii.
Hapa tukiwa tumefika eneo la tukio....Nikiwa na Mose Iyobo pamoja na Romy J
kwaajiri ya kurecord kipindi cha The Mboni Show


Tukisalimiana na George Tyson  Director wa Kipindi cha The Mboni Show

Uwa najiona pasipokumuomba Mwenyezi Mungu kabla ya kufanya chochote...
Najiona siwezi kufanya vizuri wala kutimiza lengo langu.

Hapa Mboni Masimba akipitia baadhi ya mambo kabla ya kuanza kipindi...
Tukiwa kwenye kipindi...





Picha ya Pamoja nikiwa na Mboni & Rj

Baada ya show kumalizika Hali ilikuwa hivi....






0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI