Saturday, September 26, 2015

UTAFITI WA TADIP URAIS 2015 WAMPA LOWASSA USHINDI LOWASSA KWA 54.5% DHIDI YA MAGUFULI (40%)

Utafiti wa TADIP Urais 2015 wampa Lowassa ushindi Lowassa kwa 54.5% dhidi ya Magufuli (40%)
Katika Utafiti huo uliosomwa Jana Mbele ya Waandishi wa Habari Pale Hotel ya Regency

Lowassa Ameongoza kwa Asilimia 54.5% , Magufuli 40%, Anna Mughwira 2%, Rashidi Rungwe 0.4%, Chief Yemba 0.1%, Sijui 3%

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI