Pamela A.K.A Pam D msanii wa kike pekee anajejiheshimu anapokua kazini jukwaani,Hajawahi ruhusu shabiki kumshika maungo yake na hata akishikwa anastuka haraka na kusogea.
Msanii wa kike pekee akiojiwa
kwenye televisheni ana jicho la aibu.Maisha yake binafsi ya mapenzi anayaficha ana ahiba ya hali ya juu.
Ni mdogo wake Mesen Selekta mtayarishaji wa muziki shida ya wanamuziki wakike kutongozwa na kutembea na Maproducer imempitia mbali.
0 comments:
Post a Comment