Tuesday, September 22, 2015

MPENZI WA DANI ALVES WA FC BARCELONA KWENYE HEADLINES ZA WANAMITINDO..!*PICHAZ*

Beki wa kulia wa klabu ya FC Barcelona ya Hispania  na timu ya taifa ya Brazil Daniel Alves ambaye ametwaa medali 20 toka ajiunge na klabu ya FC Barcelona mwaka 2008 akitokea klabu ya Sevilla. Mpenzi wake Joana Sanz ameshinda taji la mwanamitindo bora la L’Oreal Paris. 
2CA4104300000578-3244986-image-m-38_1442938370669
Joana Sanz
Joana Sanz ameshinda taji hilo lakini mpenzi wake Daniel Alves hakupata nafasi ya kuhudhuria shughuli hiyo ambayo mpenzi wake alikabidhiwa taji la wanamitindo bora. Daniel Alves hakuwepo kutokana na kuwa na majukumu katika klabu yake ya FC Barcelona. Joana na Alves wanaunda familia ya mataji kwani Alves ameshinda mataji mengi akiwa na FC Barcelona.
2CA3DA3700000578-3244761-Dani_Alves_shares_a_laugh_during_training_as_the_Spanish_champio-a-2_1442937614386
2CA40F4900000578-3244986-image-a-47_1442938438780

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI