Baada tu ya kuonekana kwenye kurasa ya mbele ya jarida la Vogue toleo kubwa la september, rnb staa Beyoncé ataonekana tena kwenye jarida la ‘Flaunt’ #CALIFUK Women Fashion.
Hizi ni picha zitakazotumika kwenye stori yake.
Fahamu yanayojili ulimwenguni!
0 comments:
Post a Comment