Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akiwasili katika uwanja wa Himo Polisi kwa ajili ya kushuhudia fainali ya Mashindano ya Kombe la Jimbo ,maarufu kama Mbatia Cup 2015.


![]() |
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi taifa,James Mbatia akisamiana na wachezaji wa timu ya Wazalendo fc kabla ya kuanza kwa mchezo. |

![]() |
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akikagua kikosi cha wachezaji wa timu ya Himo fc. |
![]() |
Kikosi cha timu ya Himo fc. |
![]() |
Kikosi cha timu ya Wazalendo fc. |
![]() |
Heka heka zikiendelea uwanjani. |
![]() |
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akizungumza wakati wa fainali hiyo kaba ya kukabidhi zawadi kwa mabingwa wa mashindano hayo. |
![]() |
Mmoja wa waratibu wa mashindano ya Kuwania kombe la Mbatia,Danielson Shayo akisoma risala ya mashindano hayo wakati wa fainali hizo. |
![]() |
Mh Mbatia akikabidhi zawadi ya kikombe kwa mabingwa wa mashindano hayo timu ya Himo fc,iliyochomoza na ushindi dhidi ya Wazalendo fc wa bao 2 kwa 0. |
![]() |
Mh Mbatia akikabidhi kitita cha fedha kiasi cha sh Milioni 2 kwa mabingwa hao. |
![]() |
Mh Mbatia akikabidhi zawadi ya mipira mitatu kwa mabingwa hao. |
![]() |
Mh Mbati akikabidhi zawadi ya viatu vya mpira kwa mfungaji bora. |
![]() |
Mh Mbatia akikabidhi vyeti kwa waratibu wa mashindano hayo . |
![]() |
Mh Mbatia akikabidhi zawadi kwa msaidizi wake ,Hamisi Athumani kwa kufanikisha mashindano hayo. |
![]() |
Waratibu wa mashindano ya Mbatia Cup wakiwa katika pcha ya pamoja na Mh Mbatia. |
![]() |
Kikundi cha sarakasi kikionesha umahiri katika kucheza sarakasi katika fainali hizo. #Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii ,Kanda ya Kaskazini. |
0 comments:
Post a Comment