NYUMBANI KITAIFA

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BIASHARA

Ulimwengu wa habari.

MATAIFA MENGINE

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BURUDANI

Ulimwengu wa habari.

MAAJABU DUNIANI

Ulimwengu wa habari.

Sunday, July 26, 2015

MAHABA NIUWE..CHECK HAPA PICHA ZA MZEE MENGI NA K-LYIN WAKILA BATA TARATIIIIBU UGHAIBUNI

……....

KUMBE LULU ALIMWAMBIA WEMA SEPETU HAYA BAADA YA JINA LAKE KUKATWA UBUNGE VITI MAALUM

Baada ya matokeo ya Ubunge viti maalamu Singida kutoka na Wema Kupigwa chini, Lulu Michael amemtia moyo Wema Sepetu kwa Kuandika ujumbe huu; Kuna matokeo ya aina 3  >>Kushinda >>Kushindwa >>Kudroo.  Mpka hapa ulipofika Leo umethubutu kitu ambacho wanawake wengi ni waoga kujaribu wewe ni mshindi Dada yawezeka Kuna kingine zaidi Mungu amekuandal...

Saturday, July 25, 2015

ANGALIA MILA ZA KUKAGUA UJANA(VIRGIN) KABLA YA NDOA HAPA…! *PICHAZ*

...

MCHUNGAJI NATSE AWAAGA JIMBO LA KARATU, QAMBALA KUPEPERUSHA BENDARA YA CHADEMA

Mbunge mstaafu wa Jimbo la Karatu mkoa wa Arusha,Mchungaji Israel Natse akizungumza katika mkutano mkuu wa Jimbo hilo ambao ulifanya uchaguzi wa madiwani na Wabunge wa  Viti Maalumu mgombe Ubunge wa Jimbo la Karatu,katikati ni Katibu wa Chadema mkoa wa Arusha,Kalisti Lazaro na Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Karatu,Thomas Darabe. Mbunge wa Viti Maalumu wilaya ya Karatu,Cecilia Paresso akizungumza katika mkutano huo ambao alichaguliwa...

CHEKI NA UIPAKUE WIMBO MPYA WA OCHU SHEGGY - DUMANGE

...

KADAMA MALUNDE MWENYEKITI MPYA WA WANAHABARI SHINYANGA

Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga aliyemaliza muda wake, Shija Felician akimpongeza Mwenyekiti mpya wa Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga, Kadama Malunde (mwenye suti) baada ya kutangazwa mshindi katika uchaguzi wa Klabu hiyo. Viongozi wa Klabu ya waandishi wa habari Mkoa wa Shinyanga waliomaliza muda wao wakijiuzuru nyadhifa zao kabla ya uchaguzi mkuu kupata viongozi wapya wa klabu ya waandishi wa habari mkoa...

UZINDUZI WA KAMPENI YA WAZAZI NIPENDENI AWAMU YA PILI WAFANYIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR

Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Neema Rusibamayila kwa niaba ya Waziri wa wizara hiyo Dk. Seif Rashid  (wa pili kushoto), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa  kampeni ya Wazazi Nipendeni awamu ya pili  katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke Dar es Salaam leo mchana. Wa kwanza kushoto ni Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID), Anna Bodipo Memba na wa pili kulia ni...

Monday, July 6, 2015

KIM KARDASHIAN AMUAIBISHA MUMEWE

Mwanamitindo wa Marekani, Kim Kardashian. New York Marekani Mashabiki wa Kim Kardashian, wameshangaa kitendo cha yeye kutoka nyumbani bila kuvaa Bra na kudai kuwa ni kumuaibisha mume wake kwani hii si mara ya kwanza.  Papararazi walimpiga picha Kim akionekana kutovaa sidiria huku mtaani wakijiuliza kulikoni mume wake hamuoni au ni mtu asiyejali na kumpachika jina la ‘Mastermind’. “Kivazi hiki kimekuwa kikiwatega watu kwani sehemu...

DIAMOND AFANYIWA KUFURU NIGERIA

Pasua anga! Staa grade one kwenye Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amefanyiwa kufuru ya bonge la pati na msanii mwenzake kutoka nchini Nigeria, Kingsley Chinweike Okonkwo ‘KCEE’ Ijumaa Wikienda lina ubuyu kamili.   Staa grade one kwenye Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Kwa mujibu wa chanzo cha karibu kilichosafiri na staa huyo ambaye yupo nchini humo kwa ziara yake inayofahamika kama ‘Nana Tour’, tangu...

MMEACHANA? HAKUNA SABABU YA KUCHUKIANA!

Mpenzi msomaji wa XXLove karibu kwenye Jumatatu nyingine mwanana katika ulimwengu wa uhusiano wa kimapenzi.Katika mada yetu tajwa hapo juu, nitazungumza na wale rakifi zangu walioachana au kuachwa na kuanza kumchukia mwenza wake.   Ni kweli kuachwa kunaumiza sana moyo. Kimsingi usiombe kukumbwa na maumivu ya kuachwa. Lakini kama hilo limekwishatokea, kwa nini uendelee kuumia na kumchukia aliyekuwa mpenzi wako? Kitendo cha kukuacha...

UKAWA WAJITOA RASMI BUNGENI, WAONDOKA MJINI DODOMA

UMOJA wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya wananchi UKAWA leo umetangaza rasmi kususia vikao vya bunge vilivyobaki kwa madai ya kukiukwa kwa kanuni za bunge. Akitangaza msimamo huo mjini Dodoma katika mkutano na waandishi wa habari, kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh. Freeman Mbowe amesema wabunge wote kutoka katika vyama vinavyounda umoja huo hawataingia tena bungeni licha ya baadhi yao kuwa hawajaadhibiwa. Umoja huo pia...

POLE MSANII BANZA:: HAKIKA TUMWACHIE MUNGU!

Ugua pole! Hali ya mwanamuziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ ni ya kumwachia Mungu kwani bado ni tete na watu wamekuwa wakimiminika kwa ajili ya kumuona katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar alikolazwa. Mwanamuziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ akiwa katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar alikolazwa. Ijumaa Wikienda lilitia maguu kwenye hospitali hiyo na kufanikiwa kumuona Banza ambaye...

#PENDEZA NA KHANGA:: CHEKI DRESSES NZURI NA KUVUTIA KWA WADADA WA MUJINI!!!!

...

ZILIZOSOMWA ZAIDI