Hiphop ya bongo 2015 imepata headlines nyingine tena na sasa ni zamu ya Fid Q rapper alieweka wazi kwamba video yake mpya ya bongo hiphop iliyofanywa na Nisher hata yeye alikua na kiu ya kuiona kama ilivyo kwa mashabiki wake, itazame hapa chini alafu usiache kutuandikia comment ili Fid akipita hapa usiku asome watu wake walichomuandikia.
Monday, March 2, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
Mrembo Caroline Bernard akipungia mkono muda mfupi baada ya kutangazwa rasmi kuwa ndio Miss Univerce 2014, katika hafla iliyofanyika usik...
-
Beyonce na Jay Z katika pozi HIT MAKER wa Drunk in Love, Beyonce Knowles amezima tetesi za kuwa na ujauzito baada ya kumwaga picha za k...
-
TV 1 imekuwa ni runinga inayoshika kasi sana hapa mjini kitu kinachotishia hata uwepo wa wale wakongwe hapa mjini, mwishoni mwa mwezi ulio...
-
Na Bryceson Mathias, Mvomero-Morogoro. TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetupilia mbali pingamizi lililowekwa na mgombea wa Chama cha ...
0 comments:
Post a Comment