Sunday, January 18, 2015

TYGA AVAA KIATU CHENYE CHATA LAKE LA T-TRAWW KATIKA VIDEO YAKE NA CHRIS BROWN - 'AYO'

 
WASANII Chris Brown na Tyga wamekuwa kwenye mitaa ya L.A. wiki hii wakifanya video ya wimbo wao ‘Ayo’ . Single ipo kwenye album  yao ya pili Fan of a Fan 2 na imeongozwa na Colin Tilley.
Tyga anaonekana tena na buti lake lenye chata ta lebel yake ya T-Raww.
Tyga amekuwa akijituma kuitangaza T-Raww na lebel yake ya Last Kings Music ili aweze kutoa album yake kupitia lebel yake binafsi baada ya mvutano na Young Money kuchukua muda mrefu zaidi.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI