WAPENZI Diamond na Zari wamekuwa wakifananishwa na couple tofauti za
mastaa duniani kwa picha na pozi tofauti.


Kupitia instagram yake Zari
amejifananisha na Beyonce kwa jinsi anavyofuatilia shughuli za Diamond
kwenye simu yake muda wote wanapokuwa pamoja.
0 comments:
Post a Comment