Thursday, January 1, 2015

DIAMOND ALIPOWAPA MANENO MAZITO MASHABIKI WAKE ALIPOUAGA MWAKA 2014!!!


Diamond amepost picha hiyo hapo chini ukiambatana na ujumbe huo kwa watu wake siku hii ya mwaka mpya! 
Siku zote Kumbuka wewe ni mwanaume...na sisi wanaume tumeandikiwa Rizki zetu kuzipata kwa Tabu sana... Mateso, Manyanyaso, Kudharauliwa Kusimangwa, Matusi na Shida za kila aina... hivyo, mitihani unayoipitia sasa, isikukatishe tamaa.. amini ndio njia ama Daraja la kukufikisha kwenye mafanikio yako... Waswahili husema, "Ukiona kiza kinazidi tanda, ujue karibu Kunapambazuka"

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI