Solange na mumewe wakielekea kanisani
Mr and mrs ferguson,, mko juuuuuu!!!
Katika mtandao wake Nuru the Light ameandika:
Ni harusi nzuri sana but simple,, kuna wakati tunapenda tu kucomplicate vitu,, watu na hela zao and still wako creative kufanya kitu watakachokikumbuka milele daima maishani mwao,,
Solange is 28 na mumewe 51 years old and they have been dating for 5 years!!! Solange is a singer,songwriter na kamuandikia dada yake nyimbo nyingi tu,owns her own record label and a mother this is her second marriage aliolewa akiwa mdogo sana na baba mtoto aliezaa nae but went separate ways and her current man alan ferguson is a video music director!!!
0 comments:
Post a Comment