Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Ngassa baada ya kufunga ndoa na Ladhia Mngazija Tegeta mjini Dar es Salaam, Tarehe 16/11/2014.
Hii ni ndoa ya pili kwa mchezaji huyo wa Yanga SC, ambaye anaoa baada ya kuachana na mkewe wa awali.
Fahamu yanayojili ulimwenguni!
0 comments:
Post a Comment