Tuesday, November 18, 2014

GADNER G HABASH AJIACHIA KWENYE SWIMMING POOL NA MREMBO…LAKINI SI LADY JAYDEE *PICHA*

10808404_779604428744267_190252715_n
Lady Jaydee na Gadner G Habash hawajawahi kukili hadharani kuwa ndoa yao imevunjika licha ya magazeti mengi ya udaku kuandika hivyo. Kuna kila dalili kuwa yamemwayo ni kweli hasa baada ya mtangazaji huyo mkongwe kupost picha akiwa na mrembo aliyejifunga taulo kwenye bwawa la kuogelea.
10808404_779604428744267_190252715_n
Gadner ambaye kwa sasa anafanya kazi kwenye kituo cha redio cha EFM alipost picha hiyo bila kuandika chochote zaidi ya kuweka ‘emoji’ ya mkono unaopunga.
Inaonekana kuwa tayari Captain ameshaamua kusonga mbele!

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI