Saturday, November 1, 2014

MKE WA T.I AZUNGUMZIA JINSI MUMEWE ALIVYOCHUKULIA SUALA LA KUBADILISHA RANGI YA MACHO YAKE *PICHAZ*

 MKE wa Rapper T.I , 'Tiny' amezungumzia kubadilisha rangi ya macho yake na jinsi T.I Alivyochukulia swala hilo. Tiny anasema "ni uamuzi wake kutaka mabadiliko kwenye mwili wake na pia anapendeza akiwa hivyo"
Kuhusu mume wake T.I, Tiny anasema "T.i aliniuliza tu nimefanya nini na akashanga ikaisha, anajua nimefanya nachopenda na hana tatizo na mimi "

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI