Saturday, November 1, 2014

ISIKILIZE NA U-DOWNLOAD NYIMBO MPYA YA YOUNG KILLER, FID Q & BELLE 9 - 13

NI WIMBO mpya kabisa kutoka Young Killer Msodoki akishirikiana na mkongwe wa hip hop Fid Q pamoja na Belle 9.
Wimbo huu umewashirikisha producer wanne yaani P Funk Majani kutoka Bongo Records, Palla Midundo, Amiga Tyga na Lol Pop. 
Wimbo unaitwa 13.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI