
MWANZONI alikuwa anajulikana kama Snoop Doggy Dogg, akabadilisha jina na kuitwa Snoop Dogg, Kisha baadaye Snoop Lion.
Guess what, guys! Rapper Snoop Lion amejibadilisha jina tena na kwa sasa anajiita mzungu aitwaye Todd!

Kwa muda sasa Snoop amekuwa akipost picha kama hizi kibao katika mtandao wake na kuandika jina lake hilo jipya la Todd.
Pia amekuwa akipost hata video kadhaa akijiita jina lake hilo jipya, japo wengi wanaona ni kama anazingua huku mwenyewe akionekana kuwa serious kwa kitu anachokifanya kwani amefungua mtandao na kuuita 'WhiteGuysConnect'

0 comments:
Post a Comment