"Naomba kidogo nizungumzia haya mambo ya miss Tanzania kutokana na uzoefu wangu kidogo...mm nilisha wahi kuwa miss Tabata number 3 na nikaenda Ilala na pia nilisha shiriki Mara kazaa Dodoma ... Kwa kifupi mimi sishangai sana kuhusu sitti kupewa taji kwa njia ambayo si halali kwa sababu Mara nyingi warembo wanao shinda huwa wana jijua na wanapangwa... Mfano mzuri baada ya mimi kushinda miss Tabata nilipo enda Ilala kalikumtima muandaaji aliniambia kuwa Kama ningekua karibu na waandaaji ninge shinda kwa kweli sijamuelewa kabisa kwa nn alitumia hiyo kauli... Pia mshindi wetu wa miss Tabata alikua anatembea na mdhamini wetu... Tatu kuna tofauti unaona hasa wakati wa mazoezi kuna warembo huwa wanawekwa sana karibu na waandaaji kuliko wengine na inatokea wao ndio washindi ! Na katika mashindano niliwahi kushiriki wanashinda watu ambao hutegemei na hawana vigezo kwa hiyo kwa mimi hili sioni ajabu sema lime bainika tu Lkn mtindo wa uchakachuaji upo tu na utaendelea kuwepo... Kifupi Kamati ya miss Tanzania ni mbovu huwa haitende haki na si wao tu kuanzia chinni ...... Kwa mfano hapa juzi nilimsikia wema redioni alisema aliombwa kushiriki na akaambiwa atakua miss Tanzania ... Sasa jiulize unapo ambiwa hivyo na warembo wengine wapi kwenye mashindano hapo inaleta picha gani ??? Mna ndio maana warembo hawajitokezi kwa sababu hakuna haki .... Binafsi mimi sio sitti tu kuna warembo wengi ambao siwakubali na ninao wakubali ni wachache sana sizani Kama wanazidi watano... Lkn wa kwanza miss Tanzania ninae mkubali kuliko wote ni Happiness Magesa wengine ni kufikiria"
Sunday, October 26, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
ZILE picha za mahaba za msanii wa Hip Hop Bongo, Nay Wa Mitego akiwa na msichana kitandani zimezua balaa kwa mama mtoto wake Siwema Eds...
-
MISS TANZANIA wawili, Happiness Millen Magese (2001) na Angela Damas (2002), wamejitokeza na kujitangaza wazi kuwa ni miongoni mwa mamil...
-
MKALI wa KELE KELE LOVE-Tiwa Savage, na Meneja Wake, TEEBILLZ, kwani wameweza kutimiza ndoto yao ya muda mrefu, kufunga Ndoa. Kama ...
-
MFALME wa Uswahilini, Wanamuita Msaga Sumu huku kwetu uswahili tunamjua sana si jambo la kushangaa maeneo ya Chamwino,Mafisa, Msamv...
0 comments:
Post a Comment