Saturday, October 25, 2014

ANGALIA ILIVYOKUA BAADA YA WAZIRI KURUSHIANA RISASI NA MWANAE *PICHAZ*

Polisi wakiwasili eneo la tukio ofisi za Faraja Trust Fund zinazomilikiwa na Mh Lucy Nkya ambapo tukio hilo lilitokea jana asubuhi.
Jonas Nkya Mtoto wa kwanza wa Mh Dr Lucy Nkya
Jonas akihojiwa na waandishi wa habari kuhusiana na tukuo hilo. Muda mfupi baada ya tukio kupita.
Mhe Dr Lucy Nkya Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki
Mhe Dr Lucy Nkya akizungumza na Waandishi wa habari Muda mfupi baada ya tukio kupita.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI