NYUMBANI KITAIFA

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BIASHARA

Ulimwengu wa habari.

MATAIFA MENGINE

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BURUDANI

Ulimwengu wa habari.

MAAJABU DUNIANI

Ulimwengu wa habari.

Thursday, October 30, 2014

GIZA NENE LATAWALA BONGO MOVIE BAADA YA KIFO CHA RAFIKI MKUBWA WA KANUMBA, MZEE MANENTO

RAIS wa shirikisho la wasanii Simon Mwakifwamba amethibitisha kufariki kwa Mzee Manento hapo jana na kusema kuwa msiba wake upo nyumbani kwake Kigogo/Mburahati jijini Dar es Salaam Bado mtandao wa ULIMWENGU WA HABARI unafuatilia kwa karibu habari hizi na chanzo cha kifo cha mzee wetu huyu.   Mzee Mnento atakumbukwa hasa kwa filamu alizocheza kiumakini na marehemu Kanumba.  Hero of the church, Dar to lagos,fake...

EXCLUSIVE HOT PICHAZ ZA WANAOWANIA TAJI LA MISS UNIVERSE 2014 ZIKO HAPA!!!

Wamevalishwa na designer Asia Idarous Makeup: Ndibs Picha na Ally Zoeb wa AZH Photography Good Luck to all the girl...

Monday, October 27, 2014

UMESHAWAHI KUJIULIZA KWANINI MTOTO WAKO HANA AFYA NZURI SOMA HAPA KUJUA WAPI UNAKOSEA NA NINI UFANYE.

 Kiafrika Familia hukamilika pale wanandoa wanapopata mtoto au watoto,na furaha huitawala nyumba.Watoto hupendeza na kua na afya nzuri na wenyefuraha pale wanapokula vizuri wakashiba  na wakapata usingizi wakutosha .Leo nawamulika watoto wenye umri wa mwaka mmoja adi mine(1-4)  Katika pita pita yangu na kuishi katika jamii yetu ya watanzania,nimegundua kwamba watoto wengi hawakui katika uwiano ulio sahihi,nikimaanisha umri,urefu...

USIHIFADHI VITUNGUU MAJI NA VIAZI.. SOMA HAPA!!!

Pengine umewai kujiuliza kwanini ukiifadhi  viazi ulaya au viazi vitamu  nyumbani havikai muda mrefu vikiwa vizima ,naamini mara nyingi umehifadhi viazi vikaaribika kwa kutoa maji,kutengeneza rangi yakijani, kuanza kuota vikiwa stoo na wakati mwingine  kutengeneza rangi nyeusi na kijani  unapovipika Viazi na vitunguu maji vimehifadhiwa pamoja  Viazi na vitunguu maji huendana vizuri sana katika mapishi ,Lakini...

FAHAMU KILO UNAZOWEZA KUPUNGUZA NDANI YA WIKI.

Mtu anaweza kupungua kilo ngapi kwa wiki ni swali ambalo watu wengihujiuliza.Hasa pale wanapotaka kuanza arakati za kupunguza uzito.Ni wazi kwamba watu wengi hupenda kufanya Dayati za muda mfupi na wapate matokea makubwa ya haraka.   Kiasi cha uzito unaoweza kupunguza kwa wiki hutofautiana kati ya mtu na mtu.Ingawa nia na juhudi binafsi huchukua nafasi kubwa katika hili,Kuna mambo engine  yanayoleta tofauti hizo  1.Jinsi  2.Umri  3.Ukubwa...

ZILIZOSOMWA ZAIDI