
VIPO vingi vya kuviletea mazoea, lakini sio simba ndugu yangu, hata wataalamu wa masula ya wanyama wanasema nidhamu ni kitu muhimu unapokuwa ndani ya hifadhi.
![]() |
| Sasa watalii kadhaa waliona wanaweza kujiachia tu na kumchokoza simba kilichowakuta sidhani kama watarudia tena, Nisiseme sana shuhudia simba wa jangwani alivyowavamia watalii hawa huko Namibia. |






Simba alivunja moja ya kioo cha gari hilo…
…Na kucha makucha yake katika upande mmoja wa gari hilo.
Chanzo Tabia Nchi Blog












0 comments:
Post a Comment