Tuesday, September 16, 2014

MTAZAME PROFESSOR JAY AKIMSHIRIKISHA DIAMOND PLATNUMZ - KIPI SIJASIKIA (OFFICIAL VIDEO)

 
NI VIDEO ambayo imekuwa ikisubiliwa kwa hamu kubwa na wadau mbalimbali ulimwenguni, na ndipo Profesa J ameamua kuiachia ili wadau wake waone mapya mapya aliyokuja nayo baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu kidogo akipima upepo wa Game nchini unavyokwenda.
Mtazamaji wa mtandao huu wa ULIMWENGU WA HABARI hebu enjoy kwa kuiangalia video hii aliyomshirikisha msanii mkali Diamond Platnamz.
VIDEO DIRECTED BY:
AJ 
NEXTLEVEL PRODUCTION.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI