Thursday, September 4, 2014

KWELI ELIMU HAINA MWISHO: VIDEO QUUEN MKALI WA KENYA VERA SIDIKA AAMUA KURUDI SHULE *PICHA*

Vera Sidika
VERA Sidika aka Vee ameamua kurudi shule baada ya kukacha mwaka mmoja bila kusoma, Vee ni video vixen katika ngoma kama P Unit 'You Gay' na CMB Prezzo 'My Gal'.
Aliandika kwenye ukurasa wake wa Facebook kuwa anarudi shule ili kumalizia kile anachosemea katika chuo cha Kenyatta nchini Kenya baada ya ku-make mkwanja kupitia umbo lake matata. 
"The 1 year gap I took off school. . Time is up I must get this degree.
Back to school.
Staying focused
Happy new month sweethearts"

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI