MWANAMUZIKI Big Sean ameachia ngoma mpya inayoitwa ‘4th Quarter’ ikiwa ni miongoni mwa ngoma zake 4 zilizotoka wiki iliopita ‘4th Quarter’ iliingia hewani September 12,
Inaaminika kuwa Big Sean amemuimbia Ariana kutokana na scandal inayomuandama Ariana ya kuvunja kwa sex tape yake, ndani ya 4th Quarter kuna mistari hii
“When I heard ’bout all these singers and all they naked pictures I’m like ‘Did my email just leak?'”
Hol’ up
Lemme check, oh nah nah nah
They fake, we good, we good”
Big Sean alikaliliwa akisema kuwa hawezi kuwa na uhusiano na Ariana tena ingawa bado anampa sapoti zote katika maisha ya kawaida.
Baada ya kuonekana sehemu nyingi wakiwa pamoja ikiwa hata uimba pamoja katika matamasha kulikuwa na uvumi kwamba watu hawa wana date ingawa haikuthibitishwa rasmi.
0 comments:
Post a Comment