Sunday, August 31, 2014

PICHA ZA RED CARPET KATIKA FAINALI YA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) LILILOFANYIKA TAR 30/08/2014

Wadau wa TMT wakiwa kwenye Red Carpet ndani ya Ukumbi wa Mlimani City katika FAinali ya Shindano la Kusaka Vipaji vya Uigizaji lijulikanalo Kama Tanzania Movie Talents (TMT) ambapo Mshindi amepewa Shilingi Milioni 50 za Kitanzania.
Ceaser Daniel akiwa na Jaji wa Tanzania Movie Talents (TMT) Single Mtambalike
Kikundi Cha TMT Survivor kikitoa Burudani
Kumi Bora ya washiriki Wakiwa katika Picha ya Pamoja na Mkuru
Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin Bw Johnson Lukaza akiwa na Mkewe Marian Johnson katika Dhuria Jekundu usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Mlimani City Ambapo Fainali ya Shindano la TMT lilipofanyika na Mshindi Kupatikana.
Aliyekuwa Mshiriki wa TMT na kufanikiwa kuingia hatua ya ishirini Bora na hatimaye kutolewa kwa Uchache wa Kura, Shiraz Ngasa akiwa katika picha ya Pamoja na Jaji Vyonne Cherrie au Monalisa katika zuria Jekundu
Majaji Wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Wakijadiliana jambo kabla ya Mtanange Wa TMT uliokuwa ukirushwa live kupitia Kituo Cha ITV.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI